Mkuu wa mkoa dar es Salam Poul makonda ametangaza eneo jipya la kuuzia magari

Akiwa katika Wilaya ya kigamboni leo Septemba 11, 2017  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amesema magari yote yatauzwa katika eneo la maalumu ambalo limetengwa huko kigamboni, na ifikapo Mwezi Januari mwaka 2018, leseni zote za biashara za uuzaji wa magari zitapatikana ndani ya wilaya ya kiamboni na hivyo amewataka wafanya biashara wote wa magari mkoani humo kuanza kufika ofisini kwake na kumpa mahitaji yao katika eneo hilo.

Post a Comment

Previous Post Next Post