Mwanamitindo Vivienne Westwood mwenye umri wa miaka 76 kutokea nchini Marekani, amesema kuwa kuoga mara moja kwa wiki ni siri kubwa ya kumfanya mtu asizeeke na daima kuonekana kijana.
Mume wake mwanamitindo huyo ambae ni Andreas Kronthaler alifanya mahojiano na Paris Fashion week baada ya kuulizwa kuhusu siri kubwa ya wao kuonekana vijana na kafunguka kuhusu siri hiyo.
Andreas Kronthaler ambaye ni mume wa Vivienne Westwood

Post a Comment