Lissu atoa kauli mzito akiwa hospital

Siku 11 akiwa hospital : Haya ndiyo maneno yaliyotoka kinywani mwa Tundu Lissu akiwa kitandani leo

"Pamoja na matatizo niliyoyapata, kamwe SITORUDI NYUMA.
Nimeumizwa kwa ajili ya kupigania demokrasia na maslahi ya nchi yangu.
Nimeumizwa kwa sababu ya kusema ukweli.
Nimeumizwa kwa sababu, baadhi ya watu hawataki kusikia kile ninachokisema.
Lakini pamoja na yote hayo"

Post a Comment

Previous Post Next Post