MTWARA :MKUU WA MKOA AMEWATAKA WANANCHI KUJIUNGA NA CHF

                                                         
                                                             


Mkuu wa mkoa mh Halima dendegu amewataka wananchi kujiunga na mfuko wa jamii CHF ili wapate matibabu ya uhakika Kwa muda wa mwaka mmoja.


Mh dendegu ameyasema Haya mwishoni mwa wiki hii katika hafla fupi ya kufungua kituo cha afya mtambaswala wilayani nanyumbu.

Aidha amesema kuwa serikali ya awamu ya tano ya chama cha mapinduzi CCM imetenga bajeti kubwa katika sekta ya afya, Lengo ni kuona wananchi  wanapata huduma bora za matibabu katika vituo vya afya,, Kama zahanati ambazo zipo ndani ya kata na hospital za wilaya.,



By rnandonde blogspot

1 Comments

  1. Keep up to u ,hebu tuendelee kupambana na hali zetu katika tasnia

    ReplyDelete

Post a Comment

Previous Post Next Post