Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa amekanusha taarifa zinazosambazwa mitandaoni kumhusu Rais Dkt John Pombe Magufuli na kutaka wananchi kuzipuuza.
Msigwa, kupitia ukurasa wake wa Twitter amekanusha taarifa zinazodai kuwa jana Oktoba 10 ni siku ya kuzaliwa ya Rais Magufuli, huku akisema kuwa tarehe sahihi ya kuzaliwa ya kiongozi huyo wa nchi ni Oktoba 29.
Watu wengi waliotoa maoni yao kuhusu kanusho hilo, wamesema kwamba hawajaiona taarifa yenyewe inayosema leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais, lakini wengine wakaeleza kwamba, hiki hakikuwa kitu cha msingi cha kukanusha kwani tarehe ya kuzaliwa ya Rais inaweza kupatikana kirahisi mtandaoni

“Taarifa zinazoenezwa kuwa Jana tarehe 10.10 ni siku ya kuzaliwa kwa Rais Magufuli sio kweli. Mhe. Dkt John P.J. Magufuli alizaliwa 29.10.1959.”

إرسال تعليق